Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register
Related Posts
Ile time ume nyandua fame na ngori ya kidogii afu utabike after a few minutes unaskiaga fame aki shuta na Continue Reading..
Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza
Unaringa unadhani nitakuwaza……unashtukia nishakusahau
Wakati wowote mkia hautikisi ngo, mbe,ng,ombe ndo hutikisa mkia
Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe… Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha….
penda anae kupenda asiye kupenda achana nae
Zamani wasichana walipika kama mama zao lakini saivi wanakunywa kama baba zao
Imagine tufike mbinguni halafu tupate kukula cuzo haikua Dhabi!!