Zamani watu wenye pesa nyingi ndo walikuwa wanatafuta wanawake wazuri, but now days wanawake ndo wanatafuta watu wenye pesa…
Maisha yanabadilika?
Lakini huwezi kuamini kuwa fikra zao zote zinaamini kuwa “pesa” ndo kila ki2…..? @
Napenda kuwakumbusa kuwa si kweli hata kidogo Amini kuna vitu “pesa” haiwezi nunua mfano
“Upendo” Tabia na mengine mengi
M/mungu ndie kila ki2 kwe2 hata ukatae ukubalii ndo hvyoo…

Msipofikilia vzr mtapata tabu xnaa


Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *