Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
Related Posts
Zamani watu wenye pesa nyingi ndo walikuwa wanatafuta wanawake wazuri, but now days wanawake ndo wanatafuta watu wenye pesa… Maisha Continue Reading..
Na venye mm n bachelor 🤔nikifa xai life history ang c itakuwa fupi;” Marehemu alizaliwa akazurura akafa”😂😂
Si kampuni ya makeup i strike ndo tujue Wanaume niwangapi hii Kenya
Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe… Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha….
MIMI KAMA SIMU YAKO Nataka uniheshimu.Sipendi ukiniweka kila saa kwa vibrate mode,alafu usiniweke kwa mfuko wako wa nyuma…ukinyamba wataka nifeel Continue Reading..
asiye funzwa na mamaye babake ni mwalimu
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
Kama anaringa sana usishinde ukijisumbua tuone kama atajikula😜😛😛😜